Mashindano ya michezo kwa wafanyakazi wa serikali - SHIMIWI chini ya MDHAMINI MKUU AGRICOM AFRICA LTD kampuni inayojihusisha na uuzaji wa zana za kilimo za kila aina zinazowasaidia wakulima kuanzia kuandaa shamba kulima, kupanda, kuvuna na hata kusafirisha na kutunza mazo yao.
Wanawewezesha wakulima wa aina zote kupata zana halisi na vipuri vyake kupitia malipo ya fedha taslimu au kwa kupitia mikopo yenye masharti nafuu na BILA DHAMANA kutoka taasisi za kifedha kama vile EFTA LTD, PASS LEASE, na pia kupitia ma benki ya biashara kama CRDB,NMB,Equity Bank, NBC Ltd , na TADB- Benki ya kilimo Tanzania.
Wasiliana nao kwa
SMS/Simu/WhatsApp
+255 745 350 778.
Email: info@agricomtz.com
Tovuti: https://agricom.co.tz
Wasiliana na Agricom Africa Ltd kwa: SMS/Simu/WhatsApp/Email
+255 745 350 778. Email: info@agricomtz.com Tovuti: https://agricom.co.tz
No comments:
Post a Comment